GF
Group Financial Management
Miundo ya vikundi inayoweza kubadilishwa

Karibu kwenye mfumo wa usimamizi wa fedha za vikundi uliojengwa kwa nidhamu ya fedha za jamii.

Anzisha kikundi kama welfare-only, akiba na hisa, au hybrid maalum. Wakati wa setup, chagua modules zitakazoendesha kikundi ili dashboards, approvals, na reports zionyeshe tu features mlizowasha kwa makusudi.